moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mwanamke mguu...
For skin Happy ...
Hiyo habari wala sijaisoma, muda wote naiangalia sura ya huyo mwanamama kwa jinsi ilivyopendeza.
mwenye kufahamu rangi ya uso wa huyo ahjummmaaaa aniambie tafadhali.
je uso wake ni rangi blue
je uso wake ni rangi ya chotara wa kiarabu.
je uso wake ni rangi ya karoti zile zinazotengenezewa kachumbari ya pilau masalla
View attachment 1157427