Nilitoka kidogo. Marahabaaaa sis. Nina karibu miezi mitatu sijaipata hii shikamoo yako and I don't take it for granted.SHIMBA YA BUYENZE shikamoo Bro [emoji4][emoji4]
Unauonaje huu mvurugano wa CCM kuelekea 2020? Unafikiri pengine ni mtego tu ambao wapinzani wamewekewa au ni kweli CCM inasambaratika? Wapinzani watafaidikaje na mfarakano huu kuelekea 2020 bila kuwa na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi?Ndiyo huko huko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ili si sana hapa na pale.
Ukinipita bila kunisalimia hata mimi sikuelekezi njia aisee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2960][emoji2960]View attachment 1158385