Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

85038f6d-534c-4979-a7e3-52730039b9c7.jpeg
 
Bado ni mapema mno Mkuu wangu kujua hitimisho la huu mvurugano ambao unaonyesha umemstua sana Rais wa chato hata kauli zake za hivi karibuni kubadilika.

Je msiba atapigwa stop na kijarida chake uchwara na kule utube au atapewa motisha aendelee na juhudi zake?

Ngoja tuone kila upande umejizatiti vipi kwenye huu mtifuano, ila bado ni mapema sana kujua mwelekeo wake.

Unauonaje huu mvurugano wa CCM kuelekea 2020? Unafikiri pengine ni mtego tu ambao wapinzani wamewekewa au ni kweli CCM inasambaratika? Wapinzani watafaidikaje na mfarakano huu kuelekea 2020 bila kuwa na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi?
 
Asante kamanda. Siasa ni mchezo wa kuviziana na mwenye mikakati ya kuona mbali ndiye huibuka kidedea. Wewe uliona mbali kipindi kile wapinzani wanamkaribisha Lowassa na ulisimama kidete kupinga mkakati huo kuwa lilikuwa ni kosa kubwa wapinzani walikuwa wamefanya. Na ulikuwa sahihi. Japo mkakati huo ulisaidia kuingiza wabunge wengi bungeni kiitifaki ulikuwa na madhara makubwa kwa sababu ulisaidia kuwaondolea wapinzani mojawapo ya ajenda yao kubwa na iliyowapatia umaarufu mkubwa: vita dhidi ya ufisadi.

Mimi nadhani Membe anajaribu kufanya kama aliyofanya Lowassa. Anataka kuwa mgombea urais 2020 na anajitengenezea mazingira mazuri ya kuwa mgombea wa upinzani 2020. Sina uhakika kama huu utakuwa ni mkakati sahihi kwa wapinzani au ni yale yale ya Lowassa yatajirudia. Na inavyoonekana anaweza kuja huko upinzani na wanaharakati wengi akina Nape, Nchimbi, Bashe, Makamba na wengineo. Swali gumu ni kwamba: hawa wanaaminika?

Lissu anaweza kuwa mgombea sahihi kwa upinzani japo nina wasiwasi na afya yake ya kisaikolojia kutokana na yote aliyopitia; na sijui kama atakuwa amepona sawasawa kumudu mikikimikiki ya kampeni nchi nzima. Na anahitaji kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake.

Tuombe tu 2020 tuvuke salama tusije tukaingia katika mivurugano isiyo na maana. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri iliyobarikiwa kila kitu.
 
Itakuwa ni makosa makubwa sana kwa Membe kuhamia upinzani na pia kwa upinzani kumpokea.

Membe kama kweli anautaka Urais 2020 basi ni lazima apambane ndani ya ccm. Sijui ana ubavu gani wa kupambana ndani ya ccm.

Upinzani kwa hii katiba ya sasa na Tume ya uchaguzi KAMWE hauwezi kushinda Urais.

Asante kamanda. Siasa ni mchezo wa kuviziana na mwenye mikakati ya kuona mbali ndiye huibuka kidedea. Wewe uliona mbali kipindi kile wapinzani wanamkaribisha Lowassa na ulisimama kidete kupinga mkakati huo kuwa lilikuwa ni kosa kubwa wapinzani walikuwa wamefanya. Na ulikuwa sahihi. Japo mkakati huo ulisaidia kuingiza wabunge wengi bungeni kiitifaki ulikuwa na madhara makubwa kwa sababu ulisaidia kuwaondolea wapinzani mojawapo ya ajenda yao kubwa na iliyowapatia umaarufu mkubwa: vita dhidi ya ufisadi.

Mimi nadhani Membe anajaribu kufanya kama aliyofanya Lowassa. Anataka kuwa mgombea urais 2020 na anajitengenezea mazingira mazuri ya kuwa mgombea wa upinzani 2020. Sina uhakika kama huu utakuwa ni mkakati sahihi kwa wapinzani au ni yale yale ya Lowassa yatajirudia. Na inavyoonekana anaweza kuja huko upinzani na wanaharakati wengi akina Nape, Nchimbi, Bashe, Makamba na wengineo. Swali gumu ni kwamba: hawa wanaaminika?

Lissu anaweza kuwa mgombea sahihi kwa upinzani japo nina wasiwasi na afya yake ya kisaikolojia kutokana na yote aliyopitia; na sijui kama atakuwa amepona sawasawa kumudu mikikimikiki ya kampeni nchi nzima. Na anahitaji kuhakikishiwa ulinzi na usalama wake.

Tuombe tu 2020 tuvuke salama tusije tukaingia katika mivurugano isiyo na maana. Mungu Aendelee kuibariki nchi yetu hii nzuri iliyobarikiwa kila kitu.
 
Unauonaje huu mvurugano wa CCM kuelekea 2020? Unafikiri pengine ni mtego tu ambao wapinzani wamewekewa au ni kweli CCM inasambaratika? Wapinzani watafaidikaje na mfarakano huu kuelekea 2020 bila kuwa na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi?
CCM bado wako madhubuti sana kunapotokea mfarakano wowote na hii yote inasababishwa na madudu mengi waliyofanya viongozi waliopita wakiwa madarakani kuna kulindana sana wanajua wakitibuana siri nyingi zaidi zitafumuka
 
Back
Top Bottom