mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mia miaBado ni mapema mno Mkuu wangu kujua hitimisho la huu mvurugano ambao unaonyesha umemstua sana Rais wa chato hata kauli zake za hivi karibuni kubadilika.
Je msiba atapigwa stop na kijarida chake uchwara na kule utube au atapewa motisha aendelee na juhudi zake?
Ngoja tuone kila upande umejizatiti vipi kwenye huu mtifuano, ila bado ni mapema sana kujua mwelekeo wake.