Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kweli ukosoaji wako haukuwa wa kimkakati, si ungekataa uteuzi huu? Au uliyokuwa unayakosoa yote yamesharekebishwa? Ni wakati wako wa kula na naamini hatutakusikia tena. Mwenye mnofu mdomoni kamwe huwa hafungui domo lake !!!

Mianasiasa !!!

 

Hatari sana bro na Mimi niliwaza kama ulivyoandika, kwanini asingesema hapana sitaki jamaa hawa wajanja sana, njaa mbaya sana
 
Hahaha hiyo ya tatu imeniacha mdomo wazi,siriazi kabsa unajitoa kwa staili hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…