Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kakijaga huwa kananipa wakati mgumu sana japo uzi huwa unachangamka balaa. Tuendelee kukaombea huko kaliko ili Mungu Aendelee kukabariki pamoja na wapendwa wa kenyewe. Ni kacheshi sana na hakana shida na mtu. Tatizo kubwa ni TRM [emoji16][emoji16]
Sam Smith -Pray
Namwangalia huyu jamaa mpaka namwonea huruma. Ni maisha yake lakini dah!Ningendako
Akina Elton John wenzake angalau wako ngangari kidogo. Yeye naona walishamlegeza nati zote kabisa. Hopulesi [emoji16][emoji16][emoji16]Jamaa Katoa video ya wimbo unaitwa how do you sleep siku mbili view 18M humo ndiyo anacheza kama mwanamke kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Subiri mzee wa iPhone akija [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]