![]()
Man Pac amdunda Keith Thurman kwa split decision
Bondia gwiji Man Pac amempiga tozi nyangema Keith Thurman katika pambano liloenda mpaka round ya 12. Round ya kwanza Thurman alidondoshwa chini kwa ngumi za kushtukiza za Man PAC. Kiufupi round ya kwanza mpaka ya sita Man Pac alikua very active na ile speed yake japo miaka imeenda, 40 years...www.jamiiforums.com
Wadau wa simba preseason cup South Africa Ratiba hiyoView attachment 1158667
![]()
January Makamba akifukuzwa natembea uchi Dar nzima
Makamba amejichomeka katikati ya kiini cha CCM wakati wa kampeni. Makamba anajua mbinu zote chafu za CCM dhidi ya UKAWA. Makamba ana jasho jingi tu katika "ushindi" wa Magufuli. Makamba ali-engineer mambo mengi hadi kile kitengo IT Masaki. Makamba anajua kabisa Magufuli alishinda au...www.jamiiforums.com
Jamaa amemvutia pumzi kitambo sana!
Bashe kuwa waziri kunapunguza bench la kukosoa serikali katika wabunge wa CCM