moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Njaa ya Afrika ni habari nyingine kamanda.
Mkosoaji wa Afrika anatafuta rushwa ya cheo, akishapata misele yote kwisha[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mkosoaji wa Afrika anatafuta rushwa ya cheo, akishapata misele yote kwisha[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Kukosoa kwenyewe huko ni kiinimacho tu. Utakuwaje mkosoaji wa serikali na wewe umo mumo humo? Wakosaoaji wa kweli huwa wanatoka nje ya kunguku ili waone vizuri kinachoendelea. Ulaya huko na kwenye mademokrasia yaliyokomaa ndicho kinachofanyika. Huku kwetu ni viinimacho tu na wakati mwingine ni sehemu ya michezo ya kisiasa tu.
Mtu unaikosoa serikali. Leo unapewa uwaziri wa serikali hiyo hiyo unayoikosoa kila siku. Na unakubali uteuzi huo. Maana yake nini?
Kalaghabaho !!![emoji2221][emoji2221][emoji2221]