Hii picha imeleta maswali zaidi ya millionView attachment 1158707
Wapi HARUFU
Wapi Konge
Wapi mchina mweusi
Wapi Nsamaka
Wapi Kichwa kichafu
Karibu ZanzibarView attachment 1158748
Kumekucha wakuu.
Natumai ni kwema popote mlipo, muwe na siku njema wote.
Wapi ISIS
Wapi Uniq
Wapi Babe s
Wapi Bob 12
Wapi Rutabushunyuma
Hivi vyeo ni dhamana poti. Hakuna mwenye umiliki.
[emoji3591] Liverpool ikiitoa sijui timu gani nahamia Yanga (Haji Manara). Na kweli Liverpool ikafanya yake. Mpaka leo bado yuko Simba.
[emoji3591] Lowassa asipokuwa rais mniue. (Mchungaji fulani). Baada ya hapo jamaa akamyuti na bado yupo hajauliwa.
[emoji3591] Lowassa asipokuwa rais naliwa kiboga (Jamaa wa FB). Baadaye akasema eti alikuwa anatumia lugha ya tasfida tu na hakuwa siriazi japo jamaa walikuwa wanamsaka kwa udi na uvumba.
Hawa ni wafurahisha baraza tu !!!