Na kwako pia bro.Uwe na usiku mwema Bradha
Huku kwema sana. Wewe hangaika na majukumu. Yakikaa sawa bila shaka swaga zitarudi. Hata hivi unapopita usiku wa manane kunatosha. Bora uzima tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23] mtunza kumbukumbu unafanya yako, safi sana.
Lakini kwema kamanda , maana siku chache hizi nakosa swagga za jf
Mpare ana wivu balaa. Dada yetu hata ndugu zake hatumsikii. Wapare noma aisee [emoji36][emoji36][emoji36]Yupo Tanga ameolewa na wakusoma [emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Nsamaka amekwama kwenye jukwaa la mieleka? Nsamaka huyu dadangu huyu amekwama kwenye mieleka? Hebu msinitanie bana [emoji16][emoji16]Jukwaa la mieleka amepiga kambi akimwagia sifa Seth Rollins na chama zima la The ShieldView attachment 1159142
Alimvutia pumzi, alikuwa na mapungufu gani jirani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli nimetekwa na mieleka ila karibia narudi home aisee.Nsamaka amekwama kwenye jukwaa la mieleka? Nsamaka huyu dadangu huyu amekwama kwenye mieleka? Hebu msinitanie bana [emoji16][emoji16]
Jamani hahahahaJukwaa la mieleka amepiga kambi akimwagia sifa Seth Rollins na chama zima la The ShieldView attachment 1159142
Nipo bado nalea jamani, ndio kwanza binti yangu ana miezi 9.Kapotea huyuu
Jamani huyu alipotea tangu mwaka juziWapi Bob 12
Nipo kaka, nimebanwa na majukum pmj na kulea[emoji12] [emoji12] [emoji12]Wapi Nsamaka
Bageshi. Mi siamini eti umekwama kwa akina Undertaker [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli nimetekwa na mieleka ila karibia narudi home aisee.
Hongera bageshi kwa hako kamalaika...Nipo bado nalea jamani, ndio kwanza binti yangu ana miezi 9.