Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

''Lazima tufanya uamuzi lazima tubadilishe'', aliongezea Zidane. ''Uamuzi wa kuondoka ni wa Mkufunzi na mchezaji ambaye anaelewa hali ilivyo. Hali itabadilika sijui baada ya saa 24 ama 48, lakini itabadilika, na ni vyema kwa kila mtu''.
 
Bale alikuwa mchezaji wa ziada msimu uliopita huku Real ikikamilisha kampeni yake mbaya zaidi nyumbani katika kipindi cha miaka 20, ikishinda mara 12 kujipatia pointi 68 na kumaliza katika nafasi ya tatu alama 19 nyuma ya mabingwa wa ligi Barcelona.
 
Amewafungia mabingwa hao wa Uhispania zaidi ya magoli 100 lakini amepewa jina la utani la The Golfer na wachezaji wenzake na kipa wa Real Thibaut Courtois pia alisema kwamba Bale alikosa chakula chake cha jioni kwa kuwa hakutaka kukosa kulala wakati wake wa kawaida.
 
.
IMG_20190721_231653.jpeg
 
Jamaa Katoa video ya wimbo unaitwa how do you sleep siku mbili view 18M humo ndiyo anacheza kama mwanamke kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeuona Bro,jamaa kanichefua sana,nilishindwa kuiangalia hadi mwisho,jamaa anakoelekea sijui tu,yeye pamoja na wale madance wake wote chenga yaani,,dah
 
Back
Top Bottom