Cash rules everything
Nimeuona Bro,jamaa kanichefua sana,nilishindwa kuiangalia hadi mwisho,jamaa anakoelekea sijui tu,yeye pamoja na wale madance wake wote chenga yaani,,dahJamaa Katoa video ya wimbo unaitwa how do you sleep siku mbili view 18M humo ndiyo anacheza kama mwanamke kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah huyu jamaa ni fala sana mzee,kazinguaNingendako