Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pamoja na mambo hayo, wataalam wamebaini kuwa ngozi ya uso ni ngozi ya kipekee na inapaswa kutunzwa kwa uangalifu zaidi. Mikono yetu ambayo hubeba mafuta mafuta pamoja na bakteria inaweza kudhuru ngozi zetu za uso.
 
Mdomoni (Nje na Ndani)
Utafiti zilizofanywa hivi karibuni nchini Uingereza umebaini kuwa mtu ambaye ameboreka (bored) kazini hushika maeneo ya mdomoni zaidi ya mara 23.6 kwa saa moj. Hali hii ni tatizo kubwa kwani utafiti umebaini kuwa robo tatu ya bakteria wabaya hupitia kwenye mdomo.
 
Ndani ya Pua

Kuna watu ambao kuchokonoa mapua yao ni sehemu ya tabia iliyojengeka. Kwa bahati mbaya, tafiti za kitabibu zimebaini kuwa watu wanaochokonoa pua zao kwa vidole wako katika hatari kubwa zaidi ya kushambuliwa na bakteria (staph bacteria) zaidi ya wale ambao hawafanyi hivyo.
 
Pita huko utamkuta akiwachamba "New Day ati ni mashoga", hasa yule mwenye mbavu nene anayependa kukata mauno[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]
Nsamaka amekwama kwenye jukwaa la mieleka? Nsamaka huyu dadangu huyu amekwama kwenye mieleka? Hebu msinitanie bana [emoji16][emoji16]
 
Hii miti siyo albino. Ninayo mahali nimeipanda na sasa ni mikubwa tu. Kinachofanyika ni kuwa mara moja kwa mwaka inajipiga mkorogo na gamba kuu kuu linaanguka inakuwa myeupe pee kama inavyoonekana hapo. Ni miti mizuri na inatoa maua yanayovutia sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…