Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkuu mie hili suala la huyu musiba ndiyo limenimaliza kabisa kuona ni jinsi gani nchi yetu ilivyoharibika.

Pamoja na hao Kinana na Makamba kutokuwa watakatifu walichokifanya kuandika barua kuhusu huyo taahira musiba ni sawa kabisa.

Kilichonishangaza ni kuendelea kushambuliwa Kinana na Makamba na hao ambao waliomsukumia nduli na dikteta Ikulu Kikwete na Mkapa kuamua kuwa kimya kabisa. Mwinyi naye kuja juu kuhusu picha yake kutumika lakini kuona upuuzi kile kilichofanywa na hao wastaafu.

Hii nchi sijui kama itakuja kuwa sawa tena ninachokiona ni hali kuendelea kuwa mbaya zaidi na kuwepo chuki kubwa sana miongoni mwa Watanzania na maovu ya kutisha kuongezeka kwa kasi kubwa sana.

Shida ni system watu wanalindana hii ni kwa sababu wengi wamefanya madudu hakuna aliye salama ndio maana wanataka CCM itawale milele tu
 
Mpinzani ni nani ? Na anapinga nini
Siamini viongozi wa dini hata kidogo itakuwa wanasiasa wote waongo tu
Naamka asbh natafuta pesa kwa ajili ya my lovely family na nipate ya kupata weekend maJD ,makonyagi ,magongo ya kutosha uwe na siku njem Ntolilo
Aiseee umepiga bonge la uturn kama mbowe kwa lowassa vile.

#mtunzakumbukumbuanakufahamuvizurituupandeuliopo
 
Teh teh teh
FB_IMG_1563872960139.jpeg
 
Back
Top Bottom