Shida ni system watu wanalindana hii ni kwa sababu wengi wamefanya madudu hakuna aliye salama ndio maana wanataka CCM itawale milele tu
Aiseee umepiga bonge la uturn kama mbowe kwa lowassa vile.Mpinzani ni nani ? Na anapinga nini
Siamini viongozi wa dini hata kidogo itakuwa wanasiasa wote waongo tu
Naamka asbh natafuta pesa kwa ajili ya my lovely family na nipate ya kupata weekend maJD ,makonyagi ,magongo ya kutosha uwe na siku njem Ntolilo
Safi tu, ndio kama hivi tupo jukwaani tunazugaAsante sana! How is Tuesday
Salmini..