myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Sahihi mkuu..Kuanguka kwa ukomonisti ulaya ya mashariki ,machafuko ya Nchi za kiarabu ,naona ni suala la muda tu nchi nyingine za kiafrika kufikia hatua mbaya kabisa kuwahi kutokea
Miaka 20 iliyopita hakuna mtu hata mmoja aliwahi kuwaza wala kufikiria Ivory coast wangeingia kwenye machafuko kilichotekea kila mtu anajua Amani ya Ivory coast ilkuwa Mara mia zaidi yetu lakini utawala mbovu na wa mabavu ulipelekea nchi hiyo kuingia vitani