Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
😀 😀 😀 😀Hahaha maana wabongo hawachelewi kuanzisha timu ng'ambo,
Nasikia Swiden kuna timu inaitwa Kilimanjaro,ya wabongo tupu
AiseeeFT
Barcelona-1 vs 2 Chelsea
Aiseee
😁😁Hahahah, bhageshi unafeliii
Wako poa sana mzee sijui upande wako na yule anaeuliziwa na Cole mara kwa maraSalama bro,uzima kwanza,,hawajambo uwapendao?
Kwani mechi ya ucl na liver pale anified hakuepo?Tulia wewe Binti Mpole Messi hakuwepo ndiyo maana
First half, second half and 3rd half?Kumbe ule ushindi wa 4-0 ndivyo ilivyokuwa[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1160472