Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Bro, Salama?Mpaka don aje tutakua tumeshapata tabu sana
Kitambo sana.
Bro, Salama?Mpaka don aje tutakua tumeshapata tabu sana
Mkuu myoya Leo ujasema poleni wakulima umetugenga15:05
Usijidanganye kwamba KUNA ALIYE BORA KULIKO MWINGINE zaidi tunabebeana na kuvumiliana,
Hahaha maana wabongo hawachelewi kuanzisha timu ng'ambo,Wacha nimuulize Manara kwanza isije kuwa wabongo wanaoishi South
Fresh sana mzee, mishe niaje?Hatari sana mkuu,,,
Niaje mzee mwenzangu
Tutachanganya vikabila vyetu hahahaMpaka don aje tutakua tumeshapata tabu sana
Safi sana bro, kweli tumepotezanaBro, Salama?
Kitambo sana.
Marahabaaa [emoji125][emoji125][emoji125]Wakubwa shikamooni wadogo habari zenu?
Hahahah, bhageshi unafeliiiHapana usimuite hatutaelewana nae, baki wewe tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Amuite bana the don wetu yupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti your own demon[emoji1] [emoji1] [emoji1] No one who is perfect just choose your own demon and keep on pouring anointed oil on him.
Mwenye kusema hivi alinifurahisha sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti your own demon
Yap,Salt naipata mkuu,ya Angelina Jolie,,ongezea na ile Tomb Rider kama sijakosea jina la movieMzee hovyo sana
Mkuu umecheki Movie moja inaitwa
Salt
Salama bro,uzima kwanza,,hawajambo uwapendao?Fresh sana mzee, mishe niaje?
Heheeee..... Utamu usio pelekwa kwa choo 😄 😄 😄 😄 😄 😄Utamu kitu kingine kabisa
kwahiyo na wewe una msambwanda?Kwa side chick