Wapo poa kabsa bro,achana na Cole kwanza[emoji2][emoji2]Wako poa sana mzee sijui upande wako na yule anaeuliziwa na Cole mara kwa mara
Namuonaga anavyokuwahi alafu ukimkamata yeye anaruka mbali sana tena hafurahii kabisaWapo poa kabsa bro,achana na Cole kwanza[emoji2][emoji2]
Haha acha tu bro,hizi mechi za kirafiki zina mambo sana,maswali yanabaki je hii sheria pia inapatikana Fifa??ya vipind vitatu[emoji2][emoji2][emoji2]First half, second half and 3rd half?
[emoji3][emoji3]
Umeona kumbe,huwa anaruka futi 100[emoji2][emoji2][emoji2]Namuonaga anavyokuwahi alafu ukimkamata yeye anaruka mbali sana tena hafurahii kabisa