Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ule hivi ndo uende kupiga makasia ziwani poti kweli utarudi na samaki? Huu ni msosi wa kuendea mjini kununulia roses na magauni ya bluu tu indeed wallahi [emoji16][emoji16]

Huu msosi unarudi na Sato tena wale wakubwa kabisa na wale Samaki wengine wenye vichwa vigumu kabisa(Gogogo). [emoji3][emoji3] Halafu kasia unapiga vizuri tu!
 
Hahahhaha nimecheka sana SYB bhana
 
Hila mkuu najaribu kupitia naona kama kuna photo shop wacha niangalie kwa umakini zaidi
 
Anakwenda kwenye kasri ya malkia asbh kujitambulisha na kuwa Pm naona UK ikijitoa EU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…