Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Restarting
Bila shaka.. pia na weweMungu atupe usiku mwema
Hahahaha*******CHEKA***
*******KIDOGO**
Sungura na sokwe walikutana kanisani kisha walikaa kiti kimoja. Baada ya maombi mchungaji akasema "kila mmoja amgeukie jirani yake na amwambie wewe ni mzuri". Sungura akamgeukia sokwe alipomwangalia 2 Sungura akaangua kicheko na kumwambia mchungaji "njoo umwambie wewe mimi staki zambi ya kusema uongo"
Pombe kali ndio mpango mkuu wanguEti Konyagi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mhh mkuu sidhani kama inawezekanaLakini mbona kuwa na mwanamke mmoja inawezekana Tu
Hata yesu alisema kwa mifanoMkuu, jitetee tu bila kuniingiza mimi ohooo [emoji16][emoji16][emoji16]
MashallahBaby hebu geuka kidogo nikuone vizuri [emoji7][emoji7]
View attachment 1160836
OHOO TANU YAJENGA NCHI