Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
IMG-20190606-WA0041.jpeg
 
*[emoji95]BREAKING NEWS: TAMISEMI WAMEMWAGA NAFASI 550 ZA AJIRA LEO HII 23 JULY, 2019.*

*AJIRA HIZI Zimetangazwa ili kujaza nafasi mbalimbali za Kada ya Afya katika Hospitali za Wilaya, Vituo vya Afya na Zahanati.*

*[emoji419]Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 05 Agosti, 2019 saa 9:30 alasiri.*

*[emoji419]MAOMBI NI ONLINE TU, SHARE MAGROUP MENGINE ILI WAHUSIKA WATUME MAOMBI MAPEMA TAFADHALI!*

[emoji186]Taarifa Zaidi Jiunge Nasi Telegram, Bofya hii link[emoji1428] t.me/ajiraleotanzania

*[emoji419]TUMEKUWEKEA TANGAZO KAMILI NA LINK YA KUTUMA MAOMBI HAPA CHINI!*

*[emoji419]Kusoma Maelezo Kamili na Kutuma Maombi, Bonyeza Hapa...[emoji116][emoji116]*

*[emoji95]Usipitwe na AJIRA MPYA Kila Siku, FURSA na TAARIFA ZA ELIMU Haraka Kwenye Simu Yako. INSTALL APP Yetu Rasmi BURE, Bonyeza Link Hii*=>https://play.google.com/store/apps/details?id=com.ajiraleo.app

*SAIDIA WANAOTAFUTA FURSA NA AJIRA, SHARE MAGROUP MENGINE TAFADHALI!* Tembelea Mtandao wa *www.AjiraLeo.com* kila siku, hutojuta!
 
Hekima ni nini?
Soma Hii Itakusaidia

Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi.

Natepe alipoingia tu officen alimtaka waziri aliemtangulia kutoka katika nyumba ya waziri ili yeye aweze kukaa hapo kama waziri.

Ilikuwa shida kidogo maana waziri alieondoka bado alikuwa anatafuta makazi lakini alitakiwa haraka kutoka na Natepe.

Ikampasa mzee mwinyi kutoka kwa haraka na siku anatoka pale nyumbani alikuwa amenunua mabati 150 na mifuko ya saruji 100 ya kwake wala sio mali ya serekali.

Natepe alimkatalia kuvichukua akidai ni mali ya serekali kweli mzee mwinyi akaviacha akaondoka.

Baada ya miezi kadhaa tu mzee mwinyi akateuliwa kuwa Rais zanzibar Natepe wakati ana jifikiria jinsi ya kwenda kumpongeza na kumuomba radhi kwa aliyomfanyia kabla ya kufikiria njia mzee mwinyi akaletwa bara mwaka 1985 kama Rais wa JMT.

Hapa sasa Natepe akajua kazi hana na atatimuliwa haraka iwezekanavyo tena na kutengwa na nyadhifa za JMT kwakuwa kuna mabaya ya wazi na ya sirini aliyomtendea mzee mwinyi.

Mzee mwinyi baada tu ya kuapishwa kuwa Rais wa JMT wakati anateua baraza la mawaziri akamteua tena Natepe kuwa waziri pale pale mambo ya ndani.

Siku ya kumuapisha akamwambia Natepe sio kwamba nakupenda sana hapana ila napenda kazi yako unavyofanya endelea kufanya kazi.

Siku moja mzee mwinyi yupo ikulu kapumzika akaona malori yanaingia na akaambiwa mzigo wako huu mh Rais akashtuka mbona sijaagiza kitu mie??

Ndipo akaambiwa umetoka kwa natepe mzee mwinyi akacheka sana akawaambia wasaidizi wake shusheni mabati 150 na saruji 100 hizo ndio haki yangu zingine mrudishieni tu.

Hapa kuna masomo makubwa ma tatu vema viongozi wetu wa sasa wakajipambanua kwayo ili tuende kwa weledi na umakini sana.
 
Karma
 
Back
Top Bottom