Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Katika harakati hizo, walipita shambani kwa Said na kuukuta mwili wa mwanaye ukiwa na majeraha kichwani.
Baba wa marehemu alikwenda nyumbani kwa Said kutaka kujua sababu za mwili huyo kukutwa shambani kwake, ndipo mtoto mwingine nyumbani hapo alipoeleza kuwa alimwona dada yake akimpiga kwa panga mtoto huyo na baadaye kumpeleka shambani.
 
Swadakta,
Kwenye maisha haya usimdharau yeyote kwa sababu yoyote
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
*Nimeipata Video ya UWOYA Tayari Njoo Inbox Kuipata.*
*Vigezo*
*1.Kitambulisho cha NIDA*
*2.Kadi ya Mpiga Kura*
*3. Cheti cha* *Kuzaliwa*
*4. Kadi ya CCM.*[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamanda Mutafungwa amesema, hata baada ya baba wa mtoto huyo kupewa taarifa hizo na kuambiwa anatafutwa, hakujitokeza mpaka aliposakwa ndio akapatikana na kwamba, jeshi hilo linaendelea na uchunguzi zaidi. Tayari maiti ya mtoto huyo imekabidhiwa kwa wazazi wake.
 
Afadhali leo umeukataa uhenga rasimi

#AiseeKolomijeitanihusubure
Kolomije ndiyo makao makuu ya wahenga ama?

#MshindwenaMlegee [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Nawaombea kwa Mola Awape maisha marefu mje muufikie uhenga. It is a priviledge kuhengeka. Blessings vijana wangu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…