The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Woi, mie ile timu itaanza kuongoza ongoza ndio ntashabikia[emoji41][emoji124]Wewe EPL unashabikia timu gani?
Woi, mie ile timu itaanza kuongoza ongoza ndio ntashabikia[emoji41][emoji124]Wewe EPL unashabikia timu gani?
King na poti wakiwa media tour hahaha wanakukaribishaWoi, mie ile timu itaanza kuongoza ongoza ndio ntashabikia[emoji41][emoji124]
Mule sijawahi kupitia kabisa, msimu huu ntapita kote mpaka kule kwenye mkeka[emoji1]Mzee wa liver
Humu hatuna mabishano zaidi ya kuchekana timu zikifungwa. Mabishano yapo kule jukwaa husika huwa pananoga balaa
Nifate mimi hakika hutoumiaWoi, mie ile timu itaanza kuongoza ongoza ndio ntashabikia[emoji41][emoji124]
Facebook siiachi 😀King na poti wakiwa media tour hahaha wanakukaribishaView attachment 1161857
Acha urongo weweee in haifungiki voiceNifate mimi hakika hutoumia
[emoji28][emoji28][emoji28] ila numby weweKing na poti wakiwa media tour hahaha wanakukaribishaView attachment 1161857