Ukiona manyoya.....Alipofia Ndege huwa hapakosi Manyoya
Ujue kishaliwaUkiona manyoya.....
Ooh wacha aje au ndo Daemusin? ....nasubiri mbishano wa ligi hapa..Epl ikianza utamuona vizuri mzee wa jumong na konyagi zake hahahah
Wewe EPL unashabikia timu gani?Ooh wacha aje au ndo Daemusin? ....nasubiri mbishano wa ligi hapa..
Mzee wa liverOoh wacha aje au ndo Daemusin? ....nasubiri mbishano wa ligi hapa..
Hapana ila karibu upatie. Nadhani ni Mzee wa Liver(pool). Timu yake wakiwa wanacheza utamuona humu na makreti ya konyagi na K-Vant. Ni vicheko tupu na Amun Ra za kutosha hasa akilewa...[emoji16][emoji16][emoji16]Ooh wacha aje au ndo Daemusin? ....nasubiri mbishano wa ligi hapa..