Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Supu ya kuku muhimu kama una wa kujidekesheapo. Pata na uji pia. Ule mzito mzito kidogo wa joto joto [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Marahabaaaa TH. Ngosha The Don himself here. Za siku mbili tatu? Usiwe unapotea hapa bana...
[emoji38][emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1] full kunenepa apo,eti Uji dah..!

Za sku mbiki tatu, Njema sana....hofu kwako The Don.!
 
Jamaa wajanja sana. Kuna jamaa nimemuona mahali anasema ana siku tatu hajalala anasaka hii video na sasa yuko depressed. Jamaa analalamika vibaya sana utafikiri kalazimishwa...

Wabongo wako macho kwenye porn balaa dah [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Aende tu eksivideos au ile nini huby akapoze machungu huko
 
[emoji38][emoji38][emoji38] [emoji38][emoji38][emoji38][emoji1] full kunenepa apo,eti Uji dah..!

Za sku mbiki tatu, Njema sana....hofu kwako The Don.!

Miye niko salama kabisa...Huko wako vipi?

Wataka/Wapenda kunenepa?

Wewe tayari officially ushakuwa mwenyeji. Kama na The Don unamfahamu basi ushamaliza kozi ya ugeni. Na juzi nilikusikia unamuita King... Karibu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
 
20190724_205806.jpeg
 
Hahah, mie nimekuwa officially member hapa, naskiaga hadi poti,binti mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Napenda kunenepa japo si sana..!

Huku wanaendelea vyema kabisa.!
 
Back
Top Bottom