Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

449030653_244401.jpeg
 
[emoji39][emoji39] nikiumwa flu nitajidekesha nipate supu ya kuku,


Shikamoo The Don
Supu ya kuku muhimu kama una wa kujidekesheapo. Pata na uji pia. Ule mzito mzito kidogo wa joto joto [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Marahabaaaa TH. Ngosha The Don himself here. Za siku mbili tatu? Usiwe unapotea hapa bana...
 
Kama video ndio ile tuliona screen shot yake jana kweli sio yeye, naona wameamua tu kumchafua dada mkubwa
Wanasema sijui kuna muvi yake inatoka/imeshatoka karibuni. Ni kiki ya makusudi na kipande cha video kinachozunguka kimo kwenye romantic scene iliyomo kwenye muvi. Nunueni hiyo muvi au nendeni theatre mkakate kiu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom