Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shwain zaoWanasema sijui kuna muvi yake inatoka/imeshatoka karibuni. Ni kiki ya makusudi na kipande cha video kinachozunguka kimo kwenye romantic scene iliyomo kwenye muvi. Nunueni hiyo muvi au nendeni theatre mkakate kiu [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamaa wajanja sana. Kuna jamaa nimemuona mahali anasema ana siku tatu hajalala anasaka hii video na sasa yuko depressed. Jamaa analalamika vibaya sana utafikiri kalazimishwa...Shwain zao