Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Simba wako moto naye balaaa ingia kwenye group za msimbazi aisee amejitafutia balaaAmeyatoa wapi hayo ndugu Mwakyembe
😂😂😂😂😂😂 bro#HiviKweliHuwaWanaumiaga?
#LazimaAkuzindue
(Nshadandia treni dah [emoji16][emoji16][emoji16])
Ujamsikia Leo angalia hapo juu nimetupia utumbo wake
Hahahaha kutesa kwa zamu ubingwa ni wenu ama wetu kama last seasonPogba ndio roho ya ile timu kwa sasa akiondoka ndio itaanza kugombea kutokushuka daraja kabisa ....
Kila kitu na zama zake Bro, Man U ishabaki timu ya kihistoria tu sasa
Simba wako moto naye balaaa ingia kwenye group za msimbazi aisee amejitafutia balaa
Walisema haraka haina baraka.. baraka za chura atazipataChura anaenda Moro huyo[emoji1787][emoji1787]
Hiyo ni bundesliga ,EPL ,seria A ,La liga imekaajeBut ule ndio ukweli,huko bundesliga wawekezaji wanakua 7 [emoji23][emoji23]
Hovyo sana amenipa moto shit hole ministerNimeona, ila nadhani anatafuta kujulikana angalau naye atajwe tajwe
😀😀😀Siyo kwa promo hii dadeki [emoji16][emoji16][emoji16]
#HuyuBintiHaponi
Mkuu hii epl mimi naikimbiza mpaka nifikishe vikombe 19Hahahaha kutesa kwa zamu ubingwa ni wenu ama wetu kama last season
Kaa mkao wa kula bro 😀Amber