Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1563474559339.jpeg
 
TUJIFUNZE KUHUSU KANSA YA DAMU
Leukemia ni saratani inayoshambulia tishu za mwili zinazohusika na utengenezaji wa damu zikiwemo supu ya mifupa (bone marrow) na mfumo wa lymph (lyphatic system). Kwa maneno rahisi, leukemia humaanisha saratani ya damu. Kuna aina mbalimbali za leukemia, nyingine zikiathiri watoto na nyingine zikiathiri zaidi watu wazima.
 
Kwa kawaida leukemia huanzia kwenye chembe nyeupe za damu yaani white blood cells, ambapo mwili huzalisha kiwango kikubwa cha seli zenye maumbo mabaya ambazo hazina uwezo wa kufanya kazi zake sawasawa. Kazi ya chembe nyeupe za damu ni kulinda mwili dhidi ya vimelea waletao maradhi mbalimbali.
 
Leukemia husababishwa na nini?
Kama zilizo kwa aina nyingi za saratani, mpaka sasa chanzo halisi cha leukemia hakijulikani. Hata hivyo, wanasayansi wanadai kuwa leukemia hutokea kutokana na mkusanyiko wa vyanzo mbalimbali vikiwemo vinavyohusu sababu za kinasaba (genetic factors) na kimazingira.
 
Figisu
"Katika kusimamia huu mfumo wa mabadiliko tuliwapa Tff ndio wasimamie ila wamechemka kidogo kwa mambo ya kiufundi mpaka kuruhusu mtu kubaki na 49% peke yake, ila kuanzia sasa hili zoezi litasimamiwa na baraza la michezo, na nitaunda kamati maalumu itakayo kuwa na watu kutoka kwenye taasisi za kiserikali na Tff kuhakikisha kusimamia swala la kubadili mifumo kwa klabu"

By.
Mwakyembe.
 
Back
Top Bottom