Haifungiki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 3,156
- 14,847
Yataisha wakati utajikubali na ujue wewe ni wewe mwenyewe na hukuna mwingine kwa hii dunia ana mfano wako.Nitaipa Mateso yataisha lini
Yataisha wakati utajikubali na ujue wewe ni wewe mwenyewe na hukuna mwingine kwa hii dunia ana mfano wako.Nitaipa Mateso yataisha lini
Wacha weee, yani na Maneno ya kuvutia mashabiki wapya unayo[emoji13]Timu bora kabisa kwa sasa hapo #EPL
Timu ya vijana hasa rika langu Mimi na wewe
Timu iliyokuja kupindua meza kibabe
View attachment 1161891
Manchester City
22:022200
😁😁 muache tu ajeHehehehehe
#wewewasematu
#ifudieudieee
Wacha weee, yani na Maneno ya kuvutia mashabiki wapya unayo[emoji13]Timu bora kabisa kwa sasa hapo #EPL
Timu ya vijana hasa rika langu Mimi na wewe
Timu iliyokuja kupindua meza kibabe
View attachment 1161891
Manchester City
Achana nae huyo njoo man u. Kwanza tuna jezi nzuri pili kuna mahandsome wa kutosha. Moyo kurushwa rushwa kawaida yetu,tukishinda kelele kila kona. Tukifungwa mji unatulia kwa heshima yetuWacha weee, yani na Maneno ya kuvutia mashabiki wapya unayo[emoji13]
HahahahaOmba wachezaji wa Yanga wasiyaone haya [emoji16][emoji16][emoji16]
Kule Vurugu sana,Uwiii hadi kwa mkeka aisee kule ni shida
Mashabiki wa Man U mko vizuri sana.....Naipendaga kimoyo moyo[emoji85] maana kila alienizunguka ni Man UAchana nae huyo njoo man u. Kwanza tuna jezi nzuri pili kuna mahandsome wa kutosha. Moyo kurushwa rushwa kawaida yetu,tukishinda kelele kila kona. Tukifungwa mji unatulia kwa heshima yetu