Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Hatujambo Moudy.. Asalaam aleykum
Hatujambo Moudy.. Asalaam aleykum
AminaPoleni wakulima
Namba hazidanganyi my dear, fatilia ndani ya miaka 5 ya karibuni ni timu gani inaongoza kuwapa raha mashabiki zake pale #eplWacha weee, yani na Maneno ya kuvutia mashabiki wapya unayo[emoji13]
Amazingy beautiful
Hahahaha hapo sauwaMashabiki wa Man U mko vizuri sana.....Naipendaga kimoyo moyo[emoji85] maana kila alienizunguka ni Man U
#asiioneKinghii
Umesahau kumuambia akija ajiandae kuumwa vidonda vya tumbo na preshaAchana nae huyo njoo man u. Kwanza tuna jezi nzuri pili kuna mahandsome wa kutosha. Moyo kurushwa rushwa kawaida yetu,tukishinda kelele kila kona. Tukifungwa mji unatulia kwa heshima yetu
Mwendo ni wa kasiSafari ya kuelekea China kula Matikiti ya watu Kihonda[emoji1787][emoji1787]
Hahaha hatunaga hioUmesahau kumuambia akija ajiandae kuumwa vidonda vya tumbo na presha
#nimeionaMashabiki wa Man U mko vizuri sana.....Naipendaga kimoyo moyo[emoji85] maana kila alienizunguka ni Man U
#asiioneKinghii