mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
22:30Usiku unakua
22:30Usiku unakua
"Kama unajiweza anzisha team yako ila kama unataka kuja kwa hivi vilabu vya wananchi vyenye fanbase kubwa basi masharti ndio hayo"
By.
Mwakyembe.
Hahahaha pobga akiondoka timu itakuwa nzuri yule kazi yake kubadilisha staili za nywele tuMimi nataka kuupatia Moyo wako sehemu salama ila wewe unakua mzito kunisikiliza. Aya
#ukiendaManUtafutadaktariwamoyo
Hatujambo Moudy.. Asalaam aleykum
Mkuu niaje pande hizoTunaangalia sana upande huo mkuu
#HiviKweliHuwaWanaumiaga?[emoji3][emoji3][emoji3]
#ataakiumiahaitaumasana
#ilawewebwana
Duh!