Kuanzia page ya ngapi?Ujamsikia Leo angalia hapo juu nimetupia utumbo wake
Lugha yenyewe naielewa mdogo mdogo.Bro...
Hajaxoma?
Ni wewe unatumia uandishi wa aina hii au umeikopi mahali?
Hapa unaweza kupata kizunguzungu aisee [emoji16][emoji16][emoji16]
@Davet umeskiaa? [emoji12][emoji12][emoji12]Hahahaha pobga akiondoka timu itakuwa nzuri yule kazi yake kubadilisha staili za nywele tu
Simba wako moto naye balaaa ingia kwenye group za msimbazi aisee amejitafutia balaa
.Mimi nataka kuupatia Moyo wako sehemu salama ila wewe unakua mzito kunisikiliza. Aya
#ukiendaManUtafutadaktariwamoyo
Walisema haraka haina baraka.. baraka za chura atazipata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]#HiviKweliHuwaWanaumiaga?
#LazimaAkuzindue
(Nshadandia treni dah [emoji16][emoji16][emoji16])
Nimesikia lakini kauli imetoka kwa shabiki tu mwenye mahaba yake kama Numbisa@Davet umeskiaa? [emoji12][emoji12][emoji12]