Kwema tu.. hali yako?Hahah! Wewe acha tu, vipi lakini kwema?
Dah! Asante kwa ushauri bro 🙏Picha hii inazunguka kwenye magroup ya Whatsapp na ya mwenzake mmoja hivi nimemsahau jina...
Porn ni uraibu mbaya na wenye athari kubwa kisaikolojia japo mwanzoni waweza dhani kuwa hauna madhara. Inafurahisha kuwa hauko huko japo tafiti za sasa zinaonyesha kuwa zaidi ya asilimia 95 ya vijana hasa walioko vyuoni wanakula hii pilau ya macho...
Hatari sana !!!
Daah poa sana tena kama leo nimekua na siku nzuri sana, majukumu yamepungua?Kwema tu.. hali yako?
To some extent she is liable or just simply stupid. She was the instigator of the fight while knowing very well that she is pregnant. She wanted to fight so bad that she left the shooter without any other options except to shoot her. Eyewitness and video evidence have shown beyond reasonable doubt that the shooter acted within the "stand your ground" law. That's why she hasn't been charged with any crimes.As if she didn't suffer enough!
Watu wasingepiga kelele wangemfunga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#KuchapiwaHakuepukiki bro...Bro mambo yako ya kuchapiwa hakuepukiki daaah Safari ni ngumu sana
Mke wa mtu
Mke wa mtu - JamiiForums
Mu kheri wanajamvi? Niende kwenye mada.Aliwai kuwa mpenzi wangu miaka 9 iliyopita baadae akaolewa.Tumewai kuwa na mawasiliano ya hapa na pale miaka miwili baadae.Baadae nikampotezea pia jamaa yake alihisi kitu akawa anatuma sms za vitisho.Lakini naona majuzi kati kanitumia sms za kusikitisha kwa...www.jamiiforums.com
na haya ndio malipo yake bro!!
Habari za huko bro?
Kushakucha kamanda. Na safari ya kuelekea kaburini inaendelea. Huko kukoje?
Ishu za kubebana na makontena ya maua wamwachie Poti [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23] mi namuaminia sana Mfalme, huwa hachezei nafasi kama hizo[emoji23][emoji23]