myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
✔✔Kujikubali.
Hii ndio hatua ya mwisho ambayo mtu hupitia akiachwa na mpenzi wake. Nayo ni kujikubali. Maisha yanasonga mbele.
Je sasa hivi uko katika hatua gani? Ama unakumbuka hatua hizi ulipoachwa? Kwa wale ambao bado hawajapatikana kuachwa, fahamu kuwa hizi ndizo hatua ambazo utazipitia.
Kuachana nazo ndiyo kimbembe sasa kwa sababu siyo suala la kuamka tu na kusema hii mila tunaiacha. Mila ya kukeketa mabinti, kwa mfano, imekuwa ikipigwa vita kwa miongo kadhaa na mamilioni mengi yameshatumika kujaribu kuiangamiza ila bado inaendelea. Ni vigumu sana kubadilisha mtazamo wa jamii na ni process inayohitaji juhudi za vizazi kadhaa.
#Sifazamwanaumerijali
Mh!!Mimi nipo kwenye hiyo 1% aisee.
Ugumu wangu umestiki kwa mmoja 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Safari ni ndefu mno bro. Mpaka kuzibadilisha sifa za mwanaume rijali wa Kibongo siyo leo wala kesho [emoji16][emoji16][emoji16]Bro bhana naona hashtag hapo
#kwelisafarinindefu
Masoud ana ukweli mkubwa..Usivuke nje kwenda kwenye tamaduni zingine huko kusaka mifano. Haitasadifu sana kwa sababu ni jamii tofauti. Tubakie hapa hapa kwenye mila na tamaduni zetu hizi. Na tuseme ukweli tu bila kumung'unya maneno.
Mtazamo wa Masoud una ukweli kwa kiasi kikubwa sana na unaakisi vyema hali ilivyo katika jamii zetu nyingi. Mpaka leo mvulana wa Kisukuma anakua akijua kuwa kuwa na wapenzi wengi ndiyo ishara ya uanaume hasa na urijali. Sijui mila za Wanyakyusa huko zinasemaje ila naamini katika makabila mengi vijana wa kiume wanakua na makuzi ya aina hiyo ndiyo maana wengine wala huwa hawaoni kama kuchepuka ni kosa kubwa kivile. Na ni hawa hawa ambao wamefundishwa pia kuwa mwanamke hapaswi kamwe kuwa na multiple partners; na ikitokea wakagundua kuwa hilo limetokea basi wanaumia sana.
Wanaojitolea kabisa kabisa afe kipa afe refa masika au kiangazi wao ni mwanamke mmoja na kutochepuka kamwe wapo (we ulishasema ni mmoja wao) lakini ni wachache. Na mambo haya yatachukua muda kubadilika lakini kwa sasa bado yamekaa kinadharia zaidi.
Asante kwa mjadala mzuri young bros. Ndiyo uzuri wa uzi huu. Tunaongeleshana tu kwa amani na mambo yanaendelea...
I am proud of you...
#MichepukoSiyoDili
#TubakiNjiaKuu
#KamaHutakiKuchapiwaUsichape
[emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]Mimi mwenyewe nimependa tumeweza kupata mawili matatu
#realtalk
Kwema jirani..sijui kwako maana kwetu baridi haiishi..Kabisa jirani...
Kwema lakini?
Jirani nimeona quote yako nikashtuka.Mh!!
Mkuu kwema?Jirani nimeona quote yako nikashtuka.
Naona umeshtuka, hujaamini?
Ni vituko na serekasiLakini kutembea na demu mshort ni tricky. mnatembea, unaona hawker amemvalisha balloon kwa kichwa anamwambia, "ambia daddy akulipie hiyo"