Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

andjul ndugu yangu Habari yako? nimekukumbuka mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tumekukumbuka pia na juzi nilikuita humu ila haukutokea

Pole na majukumu
Dahhh!! Nisamehe sana ankoo

Zamani mtoto (sijui kama wapo hata sasa) ilikuwa kawaida kuto kuitika anavyo itwa kisa tu alikuwa anacheza na akaitikia wito. Siku hiyo mama akiamka vibaya mtoto anajikuta anaambulia kibao cha mgongo au hata kurushiwa ukuni wa moto... Nimekuja baada ya kuitwa, sema tu sikuitika kwa sauti
 
Aah! Usijali ankoo

Nilikukumbuka juzi maana ulipotea sana hapa kijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…