Lakini siulimsikia waziri Mwakyembe alivyosema bro?Hakuna anayesumbuka bro, utasumbukaje na mtu aliyechezea maisha yake akiwa mvulana.
Mzee amebakia kuuza maneno aendeshe maisha, utasumbukaje na mtu wa aina hiyo? Anachotafuta ni alfu ya mlo, hana lingine
Salama bro, hofu kwako.Habari ndugu zangu
Who knowsPost ya million siipati ujue.
#kamaVipiNiunge
Hahahahahha😂😂😂😂😂
#Mimipianikionagahayomambonamkumbukayeyetu
#Wakubwawanahondomola
Sana.
#YupoVizuriPaleJuuHadiNimekumbukaKauliYaBintiMpole
Jamaa yako gani huyo nikamsalimie?Sawa yote Kheri, na hakuna namna
Msalimie jamaa yule