Jamaa yako gani huyo nikamsalimie?
Ijumaa karim Miss Fraggy, basi nitamsalimia mwenyewe
Sawa msalimie pacha wako mwambie amsalimie jiraniIjumaa karim Miss Fraggy, basi nitamsalimia mwenyewe
Sawa msalimie pacha wako mwambie amsalimie jirani
Marahabaa kijana mpole
Lakini siulimsikia waziri Mwakyembe alivyosema bro?
Salama bro, hofu kwako.
Aisee..Paris St-Germain imekubali kulipa £28m kumsajili kiungo wa kimataifa wa Senegal Idrissa Gueye, 29, kutoka Everton. (Mail)