Hao jamaa walikuwa hawachezi nafasi inayofanana uwanjani,kwa hyo ni kosa kuwaweka kwenye mjadala kama huu japo wote ni kina Ronald[emoji2][emoji2]
Mzee hana shida ata na 1% naona yeye kajificha nyuma ya kutetea masilahi ya Simba.....Suala la Mwakyembe linatekelezeka.
Hata hivyo Simba ikiingiza sokoni 10% kati ya 49 alizopewa Mo huyo mzee atanunua hata 1%?
Hao jamaa walikuwa hawachezi nafasi inayofanana uwanjani,kwa hyo ni kosa kuwaweka kwenye mjadala kama huu japo wote ni kina Ronald[emoji2][emoji2]
#unatakakumpamkatalunya
#kuwandiothebest
Hiyo ndio ghali. bati, sq.pipe, welding na mazoezi ya kutembelea 😀 😀 😀 😀