Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Suala la Mwakyembe linatekelezeka.
Hata hivyo Simba ikiingiza sokoni 10% kati ya 49 alizopewa Mo huyo mzee atanunua hata 1%?
Mzee hana shida ata na 1% naona yeye kajificha nyuma ya kutetea masilahi ya Simba.....

Ngoja wanamabadiliko watekeleze maagizo ya Waziri tuone mzee kama ataendelea kupiga kelele zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…