Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂😂😂😂😂😂😂#UkiongozanaNaKingUtakuaKamaKing
Bro, huku ni kwema kabisa, namshukuru Mungu.Niaje bro?habari za majukumu
Niliisoma hii,jamaa kaandika vitu vingi na vya muhimu sana hasa kama kijana ukiwa bado hujaingia kwenye ndoa ni uzi mzuri..
Tatzo katumia mfumo dume sana kufikisha ujumbe kitu ambacho sio poa
Na kuhusu slidi kwa dunia ya sasa hivi labda huyo mwanamke umuumbe kwa udongo,kifupi uslidi sio kigezo cha mke mwadilifu!!
Bro huyu jamaa ni DC wa Hai,,ni kijana ni wale wale kama kina Bashite,kifupi kalewa madaraka,,ana matukio mengi anayafanya huku Hai vikiwemo vitisho,kuvamia hotel alfajir na mitutu ya bunduki akishikiza kulipwa kodi aliyoagizwa na mkuluHii issue inahusu nini mkuu?
Duh!Bro huyu jamaa ni DC wa Hai,,ni kijana ni wale wale kama kina Bashite,kifupi kalewa madaraka,,ana matukio mengi anayafanya huku Hai vikiwemo vitisho,kuvamia hotel alfajir na mitutu ya bunduki akishikiza kulipwa kodi aliyoagizwa na mkulu