Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hiyo ishu ikoje
Kweli wasiochepuka ni mia kwa mmojaYeah, kale kamsemo katawatisha kina ningendako .
Uzi unawataka vijana wajikite kwenye "kitu silidi" na hapo ndipo mtanange ulipo kwa dunia ya sasa.
Kama ambavyo wasiochepuka ni wachache ndivyo ilivyo kwa silidi.
Hapo kwenye Trump weka prezidaa wa nchi ya kiafrika utaozea jela
Hahahahha mpo wengiPost ya Million naiwinda winda
Du hatari sana tumefikia hukoBro huyu jamaa ni DC wa Hai,,ni kijana ni wale wale kama kina Bashite,kifupi kalewa madaraka,,ana matukio mengi anayafanya huku Hai vikiwemo vitisho,kuvamia hotel alfajir na mitutu ya bunduki akishikiza kulipwa kodi aliyoagizwa na mkulu