Heheh!Hahahaha bonge la hashtag
Oooh kijana ukitaka kuchukia wanawake woooteee oa motivation speak,mshika dini sana,mfanyabiashara wa kuzunguka huku na kule hawa hawatulii nyumbani kutwa kiguu na njia. Watakupangia hata idadi ya watoto na hawazidi wawili.Kwa hyo hawa motivation speaker sio wa kuoa?ama ni tabia yake tu huyu dada??
Kuna story mtaan zinasema watu wa sheria pia hawatulii kwenye ndoa!!
HahahHahah!
#NingeAnasemakamasioslidHawekindani
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakichanganya mihemko ya kuzinduliwa na ndoa watachemsha...
Ndoa maana yake ndiyo kabisa kabisa mtu huyo utakuwa naye mchana na usiku katika shida na raha hata akipata stroke anajinyea.
Sasa kama umemuoa mtu kisa mauno feni, kitumbua juicy cha moto mnato, msambwanda na upuuzi mwingine wa kimwonekano, siku mambo yakibumburuka kila kitu kinabumburuka. Siku hizi hata tabia watu hawaangalii tena. Kama pesa zipo. Na sifa za kimwili zipo. Tayari haooo mbele ya Mungu "I do"....
Shwaiiiniii...!!!