Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Inasikitisha sana bro!!Masha
Muro
Gambo
Bashite
Happi
...and the list goes on and on. Hata sijui tatizo ni nini...
Inasikitisha sana bro!!Masha
Muro
Gambo
Bashite
Happi
...and the list goes on and on. Hata sijui tatizo ni nini...
Wakichanganya mihemko ya kuzinduliwa na ndoa watachemsha...Nyie akina bro ndoa mnatakiwa mjipange sio mkurupuko kisa mapenzi yamenoga.
#ndoasiofasheni
Ni kweli kabsa binti mpole..kujipanga na kutokuwa na papara inatakiwa sawa!!Nyie akina bro ndoa mnatakiwa mjipange sio mkurupuko kisa mapenzi yamenoga.
#ndoasiofasheni
Halafu mje mmfanyie figisu figisu tena kama wakati ule [emoji16][emoji16][emoji16]Hahahahaha atakuja kuivizia alikuwa hatari sana kwa mbio
Hali iko hivyo hivyo mkuu ulevi wa madaraka haujawahi kuwaacha salama vijanaHuko kwenu kamanda hali ikoje? Vijana wako vizuri au nao wakipewa madaraka ni yale yale?
Akina Yeriko Nyerere, Mdude Chadema, Melissa na wengineo?
Hahahaha kitu OG hogo ndio mpangoAnaweza sana tu tena sana [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1163373
Sana mkuu,wanajisahau sana....wanasahau kuwa cheo ni dhamanaWengi wakipewa madaraka wanafeli kabisa
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] wapo wengi wanafukuza mwizi kimya kimya
Enzi hizo kulikua na kikundi cha maigizo kinachoitwa kidedea. Kilivuma sana na kiongozi wake alikua mwanamama anayeenda kwa jina la peace(R.I.P)basi wakapata udhamini wa kila aina. Ndani ya kikundi wakaibuka waasi akina jengua kutaka mapinduzi na umiliki wa kikundi. Hawa akina jengua wakapata nguvu zaidi wakamega kikundi na kuendelea nacho,peace wa watu alilalamika wee mwisho wa siku akashinda kesi kwa kupewa jina tu la kikundi huku jengua akimega wasanii maarufu. Kikund cha peace kilipotea alipofariki,kikundi cha jengua kilisambaratika kisa maslahSimba ni nani?
Simba ni wale wanachama walikutana kwenye mikutano zaidi ya mitano wakaamua kuiendeaha kama wanavyotaka.
Watu wa aina ya Kilomoni walikuwepo kwenye mikutano yote, lakini kura zao hazikutosha, kwahiyo waache mdomo
Wanataka kurudisha timu enzi ya ujimaSimba ni nani?
Simba ni wale wanachama walikutana kwenye mikutano zaidi ya mitano wakaamua kuiendeaha kama wanavyotaka.
Watu wa aina ya Kilomoni walikuwepo kwenye mikutano yote, lakini kura zao hazikutosha, kwahiyo waache mdomo
100%Asilimia kubwa ya hizisemina zinaendeshwa na wadada wamama ambao hawajaolewa na hata hawajawahi ishi na wanaume au ni wale single mom wenye historia za maumivu au divorcee . hawa wengu wao wanamafundisho ya kumpa ujeuri mwanamke na kumtaka adai kinguvu ile ajenda ya 50%.
Hilarious! Eti mwanaume nae aoshe vyombo,apige deki nyumba,aende sokoni kwa utamaduni upi wa kiafrika jamani.
Usiwasemee [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hahahaha kitu OG hogo ndio mpango
Hahahaha alilalamika mpka akahama uziHalafu mje mmfanyie figisu figisu tena kama wakati ule [emoji16][emoji16][emoji16]