Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Noted!!Wakichanganya mihemko ya kuzinduliwa na ndoa watachemsha...
Ndoa maana yake ndiyo kabisa kabisa mtu huyo utakuwa naye mchana na usiku katika shida na raha hata akipata stroke anajinyea.
Sasa kama umemuoa mtu kisa mauno feni, kitumbua juicy cha moto mnato, msambwanda na upuuzi mwingine wa kimwonekano, siku mambo yakibumburuka kila kitu kinabumburuka. Siku hizi hata tabia watu hawaangalii tena. Kama pesa zipo. Na sifa za kimwili zipo. Tayari haooo mbele ya Mungu "I do"....
Shwaiiiniii...!!!