Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1564130139849.jpeg
 
Enzi hizo kulikua na kikundi cha maigizo kinachoitwa kidedea. Kilivuma sana na kiongozi wake alikua mwanamama anayeenda kwa jina la peace(R.I.P)basi wakapata udhamini wa kila aina. Ndani ya kikundi wakaibuka waasi akina jengua kutaka mapinduzi na umiliki wa kikundi. Hawa akina jengua wakapata nguvu zaidi wakamega kikundi na kuendelea nacho,peace wa watu alilalamika wee mwisho wa siku akashinda kesi kwa kupewa jina tu la kikundi huku jengua akimega wasanii maarufu. Kikund cha peace kilipotea alipofariki,kikundi cha jengua kilisambaratika kisa maslah

Naombea simba wapate muafaka wa busara zaidi
Kabisa bila busara kutumika simba watarudi nyuma hatua mia
 
Mie kama official follower wako nakuunga mkono

#ankomilionisikupite
Ngoja nifanye konekisheni na watu muhimu kama SHIMBA YA BUYENZE,Daemusin, moudgulf, myoyambendi, Yegomasika na hawa vijana akina Davet, Bradha, ningendako, Cole pamoja na dada zao akina Fraggy, The Hap ili wakifika post ya 999,995 washituane watoke kwenye uzi, halafu mmoja anipigie simu ili nije kujimwaya mwaya kwa raha zangu...
Jamani konekisheni raha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Simba ni nani?
Simba ni wale wanachama walikutana kwenye mikutano zaidi ya mitano wakaamua kuiendeaha kama wanavyotaka.
Watu wa aina ya Kilomoni walikuwepo kwenye mikutano yote, lakini kura zao hazikutosha, kwahiyo waache mdomo
Nikweli walikutana wenye Simba yao wakaamua walichoamua sema tatizo sasa kuna hatua za kisheria hawajazifata, pia ata makubaliano waliyokubaliana na Moo kuna vitu bado hajatimiza ndio maana hizi kelele zinatokea.

Kuhusu ulaji ata hao wanaokubali mabadiliko pia wachumia tumbo tu na tayari kuna baadhi yao Moo kishawapa mashavu kwenye baadhi ya Oganizations zake ....

Muwekezaji atimize makubaliano waliyowekeana na sheria ifuatwe hizi kelele ziishe...
 
Ngoja nifanye konekisheni na watu muhimu kama SHIMBA YA BUYENZE,Daemusin, moudgulf, myoyambendi, Yegomasika na hawa vijana akina Davet, Bradha, ningendako, Cole pamoja na dada zao akina Fraggy, The Hap ili wakifika post ya 999,995 washituane watoke kwenye uzi, halafu mmoja anipigie simu ili nije kujimwaya mwaya kwa raha zangu...
Jamani konekisheni raha [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Kokochano vipi? Atakubali kukuachia?
 
Asilimia kubwa ya hizisemina zinaendeshwa na wadada wamama ambao hawajaolewa na hata hawajawahi ishi na wanaume au ni wale single mom wenye historia za maumivu au divorcee . hawa wengu wao wanamafundisho ya kumpa ujeuri mwanamke na kumtaka adai kinguvu ile ajenda ya 50%.

Hilarious! Eti mwanaume nae aoshe vyombo,apige deki nyumba,aende sokoni kwa utamaduni upi wa kiafrika jamani.
Sawa sawa
 
Kongoni ni miongoni mwa wanyama jamii ya swala ambao ni wakubwa kimaumbile. Wanyama hawa wapo kwenye familia moja na wanyama kama Nyati, Nyumbu, Pofu na wengineo katika familia hii. Kuna takribani spishi nane (8) za Kongoni ambazo kati ya spishi hizi nane, spishi moja tayari imekwisha toweka duniani na tatu kati ya saba zilizo baki inasemekana wapo kwenye hatari kubwa zaidi ya kutoweka duniani pia.
 
Back
Top Bottom