Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KUZALIANA
Kabla ya kuwa mtawala wa kundi la kina mama na watoto huwa kuna ugomvi mkubwa sana kati ya madume. Dume ambae atashinda katika mapambano hayo basi humiliki kundi la majike na watoto waliyopo katika kundi hilo. Mara tu baada ya kuwa mtawala wa kundi huakikisha anaweka mipaka katika eneo lake ili kuzuia madume wengine wasivamie eneo hilo. Hutumia kinyesi kuweka mipaka na wakati huo majike na watoto wote chini ya utawala wake huzungukia ndai ya eneo hilo pasi na ruhusa ya kutoka nje ya eneo hilo.
 
Kwnye baadhi ya maeneo wanyama hawa huanza kupandana kipindi kifupi cha msimu wa mvua, na ndio wakati huu madume huwa na hasira sana kwa ajili ya kupambana kutengeneza himaya zao. Mara baada ya kuwapanda majike, majike hawa hukaa na mimba kwa muda wa miezi minane (8) na kuzaa mtoto mmoja tu.
 
Kabla ya kuzaa mama huondoka kwenye kundi na kutafuta sehemu yenye majani au miti mingi kwenye usalama kwa ajili ya mtoto atakae zaliwa. Mtoto hufichwa kwa takribani wiki mbili mara tu baada ya kuzaliwa. Baada ya muda huu mtoto huwa na uwezo wa kukimbia na hata kuongozana na kundi la kina mama na watoto, na ndio wakati huu sasa mama hurudi ndani ya kundi na mwanae.
 
Kwa hyo hawa motivation speaker sio wa kuoa?ama ni tabia yake tu huyu dada??

Kuna story mtaan zinasema watu wa sheria pia hawatulii kwenye ndoa!!
Oooh kijana ukitaka kuchukia wanawake woooteee oa motivation speak,mshika dini sana,mfanyabiashara wa kuzunguka huku na kule hawa hawatulii nyumbani kutwa kiguu na njia. Watakupangia hata idadi ya watoto na hawazidi wawili.

Wanasheria bana kila mkikorofishana hata ukimfinya polisi inakuita,je unaweza vumilia hio hali?
 
Kwnye baadhi ya maeneo wanyama hawa huanza kupandana kipindi kifupi cha msimu wa mvua, na ndio wakati huu madume huwa na hasira sana kwa ajili ya kupambana kutengeneza himaya zao. Mara baada ya kuwapanda majike, majike hawa hukaa na mimba kwa muda wa miezi minane (8) na kuzaa mtoto mmoja tu.
 
Kabla ya kuzaa mama huondoka kwenye kundi na kutafuta sehemu yenye majani au miti mingi kwenye usalama kwa ajili ya mtoto atakae zaliwa. Mtoto hufichwa kwa takribani wiki mbili mara tu baada ya kuzaliwa. Baada ya muda huu mtoto huwa na uwezo wa kukimbia na hata kuongozana na kundi la kina mama na watoto, na ndio wakati huu sasa mama hurudi ndani ya kundi na mwanae.
 
Japo mtoto hujiunga na kundi la kina mama baada ya wiki mbili, bado pia hutegemea maziwa ya mama kwa muda wa miezi minne na huwa karibu na mama kwa muda wa miaka mitatu. Watoto wa kiume mara tu wanapokuwa huondoka kwenye kundi hili la kina mamana kutengenezea kundi lao. Kipindi hiki watoto hawa wa kiume wanakuwa bado hawajawa na uwezo wa kuanzisha himaya zao hivyo hulazimika kuishi kwa kupendana sana katika makundi yao.
 
Tofauti na walivyo swala wengine, kongoni wanapozaa huwa hawana umoja wa kina mama ndani ya kundi na hivyo kila jike hulazimika kuwa pamoja na watoto ambao wanashabihiana kizazi yani wale ambao wanatokana na kizazi kimoja ndio hukaa pamoja kipindi hiki cha kuzaliana. Wanyama hawa huanza kuzaliana wafikishapo umri wa mwaka mmoja hadi minne.
 
Mpaka sasa hakuna takwimu maalumu zinazo toa kipimo cha uhifadhi wa wanyama hawa. Wanyama hawa bado wameendelea kuonekana sana katika maeneo yao hususani hapa Tanzania katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti ambayo ni sehemu ya urithi wa dunia na hii inasaidia kuongeza chachu ya uhifadhi wa wanyama hawa katika maeneo tengefu ya uhifadhi wa wanyamapori
 
Hapa nazungumzia maadui asilia na ambao ni lazima wawepo ili kuhakikisha kuna kuwepo na usawa wa kiikolojia katika mazingira wanayoisha wanyama hawa. Maadui wakuu wa wanyama hawa katika mazingira yao asili ni Simba, Chui, Duma, Mbwa mwitu, Mbweha na Fisi.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafundisho yako yanafurahisha sana.
Sijui Davet kama anajifunza hapo au nae anaruka ruka tu kama ningendako afanyavyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…