Hapo ndipo mtihani upo.Kokochano vipi? Atakubali kukuachia?
Hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#HuuUzisihami
Hahah! Najifunza sana ankoo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafundisho yako yanafurahisha sana.
Sijui Davet kama anajifunza hapo au nae anaruka ruka tu kama ningendako afanyavyo...
Aisee hahahaHahahaha bonge la hashtag
Aisee!!haya mambo haya...Oooh kijana ukitaka kuchukia wanawake woooteee oa motivation speak,mshika dini sana,mfanyabiashara wa kuzunguka huku na kule hawa hawatulii nyumbani kutwa kiguu na njia. Watakupangia hata idadi ya watoto na hawazidi wawili.
Wanasheria bana kila mkikorofishana hata ukimfinya polisi inakuita,je unaweza vumilia hio hali?
Hahaha ankoo nipo makini sana na masomo haya....theory muhimu kabla ya pratical ankooo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mafundisho yako yanafurahisha sana.
Sijui Davet kama anajifunza hapo au nae anaruka ruka tu kama ningendako afanyavyo...