Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uwindaji wa simba, simba ni wanyamapori ambao ni rahisi sana kuwawinda, wale ambao wanafanya biashara ya uwindaji huwa hawatumii nguvu nyingi kumuua simba kwa sababu simba ni wanyama ambao wanaishi kwenye maeneo maalumu ambayo yana mipaka maalumu waliyojiwekea hivyo, kama kuna mtu anafahamu maneneo hayo na kumpeleka muwindaji ni rahisi sana kufanikiwa katika uwindaji wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…